Adhabu ya Kufungiwa Manara na TFF Yabakiza Mwezi Mmoja...Aandika Haya

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Adhabu ya Kufungiwa Manara na TFF Yabakiza Mwezi Mmoja...Aandika Haya

Adhabu ya Kufungiwa Manara na TFF Yabakiza Mwezi Mmoja...Aandika Haya


Hajismanara amefunguka Kwa kuandika ukingo wa adhabu yake na TFF aliopewa kutokana na makosa ya kinidhamu na kaandika Kwenye ukurasa wake wa Instagram

arehe 20 July Inshaallah adhabu yangu itakuwa imeisha kwa mujibu wa Judgement yao,,,ni chini ya Mwezi mmoja toka tarehe ya leo,,

Nina hamu kubwa ya kuja kukamilisha project flani kwa ushirikiano na wenzangu ndani ya Young Africans walau kwa mwka mmoja au ziada kidogo ,,!!

Lakini nimemiss mno uwepo wangu kwenye Siku ya Mwananchi,,kiufupi mm mwenyew nimejimiss kutokuwepo kwangu kwenye Holiday yetu 🤪

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad