Mchezaji Aziz Ki Aikosa TUZO ya Mchezaji Bora

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

 

Mchezaji Aziz Ki Aikosa TUZO ya Mchezaji Bora

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki ameshindwa kubeba tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Burkina Faso baada ya kushindwa mbele ya bingwa wa Bundesliga, Edmund Tapsoba.


Tapsoba kwa sasa anahusishwa kusajiliwa na Klabu ya Paris Saint Germany (PSG) ya nchini Ufaransa.

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad