Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Legend wa Muziki wa Rap kutokea nchini Kenya CMB Prezzo ameanguka gafla na kupoteza fahamu,
Tukio hilo limetokea wakati Prezzo alipokua amehudhuria kwenye uzinduzi wa Reality Show ya Msanii mwenzake @bahatikenya , kutokea nchini humo.
Sababu za Rapa huyo kupoteza fahamu bado hazijawekwa wazi.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA