Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Klabu ya Raja Casablanca imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Morocco ya Botola Pro bila kupoteza mchezo wowote na inakuwa klabu ya kwanza kihistoria kufanya hivyo na kutwaa ubingwa wa Ligi kwa mara ya 15.
Licha kukaa kileleni mwa msimamo wa Botola Pro kwa wiki 18, FAR Rabat ya Nasreddine Nabi imeshindwa kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo huku Raja Casablanca waliokaa kileleni kwa wiki mbili tu wakinyanyua kwapa.
FT: AS FAR 2-0 FUS Rabat
FT: Mouloudia Oujda 0-3 Raja AC
FT: Wydad 1-0 Moghreb Tetouan
1. Raja — Pts 72
2. AS FAR — 71
3. Berkane — 52
4. Union Touarga — 44
5. Olympique de Safi — 44
6. Wydad AC — 44
https://youtu.be/BgnnBtzaDoA
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA