Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Tixon Nzunda na dereva wake wamefariki kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la KIA wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, na kwamba imetokea majira ya saa nane mchana leo Juni 18, 2024
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA