Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Licha ya kufunga bao moja tu kwenye Ligi Kuu bara msimu uliopita, Kibu Dennis amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Simba Sc kwa miaka miwili zaidi mpaka 2026.
“Kibu D ataendelea kusalia klabuni baada ya kuongeza mkataba mpya” imesema taarifa ya Simba Sc kwenye mitandao ya kijamii.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA