Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika ujumbe katika ukurasa wake.
Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) jana lilitoa orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali, lakini hakukuwa na jina la Aucho katika nafasi ya kiungo.
Aucho ameandika “ Hakuna tuzo bora kuliko upendo wako na msaada. Mashabiki wangu wapendwa asanteni kila mara kwa kuniunga mkono tangu siku ya kwanza. Asante sana”
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA