Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Leo Julai 11 ,Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri.
Ni timu 5 tu ambazo hazitakuwepo kwenye hatua ya awali kwenye Ligi ya mabingwa
👉Al Ahly
👉ES Tunis
👉Mamelodi Sundowns
👉Petro de Luanda
👉TP Mazembe
Timu zingine zitaanzia hatua ya awali
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA