Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amemaliza hukumu yake aliyofungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi.
Manara alifungiwa miaka miwili pamoja na faini ya milioni 10 baada ya kukutwa na hatia ya kumkosea nidhamu Rais wa TFF, Wallace Karia wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (ASFC) kati ya Yanga SC dhidi ya Coastal Union, jijini Arusha.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA