Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi, Francois Regis kuwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Imani Kajula ambaye aliomba kutoendelea mkataba wake ukiisha.
Regis amewahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Rwanda na pia makamu wa Rais wa klabu ya APR.
Mnyarwanda huyo anatarajia kuanza rasmi majukumu yake Agosti Mosi, mwaka huu, ambapo Kajula mkataba wake unakoma mwisho wa mwezi huu Julai.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA