Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Baada ya Mwanasheria Rashid Yazidu kufanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akijitambulisha kama msimamizi wa Kibu Denis, mchezaji huyo [Kibu Denis] ameibuka na kumkana Yazidu.
Kibu amesema Yazidu ni mwanasheria ambaye alimpa kazi na baada ya kazi hiyo walimalizana na hawakuwa na mkataba wa kufanya kazi pamoja.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA