Sakata la Skudu Kuachwa na Yanga Limekaa Hivi....

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa



Skudu alisaini mkataba wa miaka miwili na Yanga huku akiahidiwa kupewa pesa ya usajili sign- on-fee ya $45,000 (tsh 117,000,000) na wakati anasaini Yanga walimlipa $25,000. huku $20,000. iliyobaki akiahidiwa kupewa mwanzoni mwa msimu wa 2024/25.

Hivyo kama Yanga wanataka kuachana na mchezaji huyo kwenye dirisha hili la usajili wanatakiwa kuvunja mkataba wake kwa kumlipa $20,000. Iliyobaki Na mshahara wa msimu mzima ambao angepokea 2024/25.

Ikumbukwe Skudu analipwa $6000 (tsh 15,930,000) Kila mwezi hivyo mshahara wake wa mwaka Mzima ni $72,000 (tsh 191,160,000).

@Hansrafael19
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad