Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Simba Hawaanzii Hatua ya Awali Kombe la Shirikisho
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri.
Droo Kwa upande wa Kombe la Shirikisho ni timu 12 tu hazitaanzia hatua ya awali, ambazo ni:
Simba
RS Berkane
Zamalek
Asec Mimosas
Enyimba
Stade Malien
USM Alger
El Masry
CS Sfaxien
AS Vita
Sekhukhune utd
FC Lupopo
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA