Tuzo za TFF, Aziz KI kuchuana na Fei Toto mchezaji Bora

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

 

Tuzo za TFF, Aziz KI kuchuana na Fei Toto mchezaji Bora

Tuzo za TFF, Aziz KI kuchuana na Fei Toto mchezaji Bora

TUZO ZA TFF 2023/24


Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa #NBCPremierLeague ni hawa hapa:-

1. Stephane Aziz Ki,

2. Feisal Salum,

3. Kipre Jr.

4. Djigui Diarra,

5. Ley Matampi,

6. Yao Kouassi

7. Ibrahim Bacca,

8. Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr.'.


Wanaowani tuzo ya golikipa bora wa #NBCPremierLeague ni hawa hapa:-

1. Ayoub Lakred

2. Djigui Diarra

3. Ley Matampi


Wanaowania tuzo ya beki bora wa #NBCPremierLeague ni hawa hapa:-

1. Yao Kouassi

2. Ibrahim Bacca

3. Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr.'


Wanaowania tuzo ya kiungo bora wa #NBCPremierLeague

1. Stephane Aziz Ki

2. Feisal Salum

3. Kipre Junior


Wanaowania tuzo ya kocha bora wa #NBCPremierLeague ni hawa hapa:-

1. David Ouma,

2. Bruno Ferry,

3. Miguel Gamondi


Usiku wa tuzo ni Agosti 8, 2024 jijini Dar es Salaam na utakufikia mbashara kupitia Azam TV.

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad