Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Yanga imewaongezea kandarasi nyota hawa, wanaosepa orodha iko hapa
Klabu ya Yanga imewaongeza mikataba wachezaji wake wafuatao:
◉ Djigui Diarra - Mali
◉ Kibwana Shomari - Tanzania
◉ Bakari Mwamnyeto - Tanzania
◉ Khalid Aucho - Uganda
◉ Pacome Zouzoua - Ivory Coast
◉ Farid Mussa - Tanzania
◉ Stephane Aziz Ki - Burkina faso
◉ Jonas Mkude - Tanzania
◉ Clement Mzize - Tanzania
◉ Nickson Kibabage - Tanzania
◎ Aboutwalb Mshery - Tanzania (Bado).
Wachezaji ambao wamemaliza mikataba na hawataongezewa mikataba mipya:
◎ Joseph Guede - Ivory Coast
◎ Zawadi Mauya - Tanzania
◎ Metacha Mnata - Tanzania
◎ Skudu Makudubela - Tanzania
◎ Okrah - Ghana (Mkataba umesitishwa).
◎ Joyce Lomalisa - Congo DR.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA