Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mwimbaji staa wa Bongofleva Harmonize ametambulisha wimbo wake mpya wa hamasa aliouimba maalum kwa ajili ya Yanga ambao atautumbuiza siku ya Yanga Day Jumapili ya weekend hii.
“Ifike wakati Msanii ukipata nafasi ya kuperfom kwenye jukwaa kama hili kwangu ni kitu kikubwa ni zaidi ya super bowl kwahiyo ni mara ya pili kuperfom na nimejiandaa sitaki niongee sana safari hii nataka nioneshe vitendo zaidi, kwangu hii ni Yanga Day bora,” amesema Harmonize.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA