Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao 24|25 tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu,“ amesema Almas Kasongo
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA