Header Ads Widget


SIMBA WASIPOPAKI BASI LEO WATAPIGWA NA KITU KIZITO NA YANGA

SIMBA WASIPOPAKI BASI LEO WATAPIGWA NA KITU KIZITO NA YANGA


Mara kadhaa Gamond amesikika akiwambia wachezaji wake maneno Haya👇

“You play like you training….this is the most important…don’t forget that”

Ni Kama utani Ila Yanga ya Gamond ni tishio sana

Leo wakati najiandaa na uchambuzi wa Kesho kwenye @crownsports_cm nimepata Muda wa kutazama mechi mbali mbili za Yanga na Simba Ila kupata kitu sahihi cha kuwalisha watu kesho….ila Ndugu zangu niwambie kuwa Njia sahihi ya kuwazuia Yanga ni kupaki Bus na kuwapiga Counter-attack.

Nimegundua kwanini timu nyingi msimu uliopita zilipiga 5G

Build-up ya Yanga ni kiboko wanakutongoza kwa pasi fupi fupi huku wakiutanua uwanja…mpira unatakiwa kutembea kwa haraka kuliko wachezaji,Kisha wanapata mianya na kufunga magoli.

Simba wana timu nzuri yenye wachezaji wadogo Ila bado hawajawa na chemistry na fitness ya kupishana na Yanga hivyo njia sahihi ya kucheza nao Kesho ni kukaa nyuma na kusubiri counter-attack la sivyo litawakuta Jambo.

Nazungumza hivi Baada ya kufanya uchunguzi

Post a Comment

0 Comments