Timu ya Manchester City Yashinda Ngao ya Jamii Yaifunga Man United

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

ENGLAND: Timu ya ManchesterCity imeukaribisha Msimu wa 2024/25 kwa kushinda Ngao ya Jamii mbele ya Wapinzani wao wa Jadi, ManchesterUnited kwa ushindi wa penati 7-6

Hadi dakika 90 matokeo yalikuwa 1-1, United iliyopata nafasi nyingi za wazi ikashindwa kutumia vizuri ilitangulia kwa goli la Alejandro Garnacho kisha Bernardo Silva akasawazisha

Ushindi huo umeifanya #ManCity kufikisha Ngao ya 7

Timu zilizoshinda Ngao mara nyingi ni Man. United (21), #Arsenal (17), #Liverpool (16), #Everton (9), Spur (7) na Chelsea (4)
-
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad