Waliotumwa na Afande |
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela na faini ya milioni moja kila mmoja Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza baada ya kuwakuta na hatia katika makosa yote mawili walioshtakiwa nayo la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya, Jijini Dar es Salaam.
Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 ilikuwa inawakabili Washtakiwa wanne akiwamo MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo ambaye ni Askari wa JWTZ, Askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Kesi hii maarufu ‘Waliotumwa na Afande’ imesikilizwa faragha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ambapo upande wa Jamhuri uliwasilisha Mashahidi 18 na vielelezo 12 kuthibitisha mashtaka dhidi ya Washtakiwa.
Washtakiwa walifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza August 19, 2024 na kusomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti huyo ambaye Mahakamani anatambulika kwa jila la XY ambapo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule Washtakiwa hao baada ya kusomewa mashataka walikana na kutokana na unyeti wa kesi hiyo hawakupatiwa dhamana ambapo baada ya kesi kusikilizwa kwa siku kadhaa leo wamesomewa hukumu na kukutwa na hatia hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha.
1 Comments
KARIBU UPATE KUJUWA NYOTA YAKO NA KUUJUA MWILI WAKO NA TIBA YA MATATIZO YAKO, PESA ZA MAJINI NA NDAGU.
ReplyDeleteDOKTA MDIRO, call/whatsup +255 742162843
DUNIA HII SIO MBAYA ILA WALMWENGU NDIO WABAYA,
KATIKA MAISHA YETU TUNAISHI NA WATU WA AINA MBALIMBALI WEMA NA WABAYA
Natoa ofa ya checkup au kuuchuuza mwili wako na NYOTA yako kuchekii mwili wako na NYOTA yako ni Kama unavyokwenda kwa daktari hospitalini kufanya checkup ya afya ya mwili kuuhepusha na maradhi nyemerezi kwa kuyakinga au kuyaondoa kabisa.
TUNAISHII KTK DUNIAA AMBAYO YENYE UPENDO , CHUKI NA ROHOMBAYA.
TUMEZUNGUKWA NA JAMII AMBAYO WATU TUNACHEKA NAO TUNAKUNYWA NAO LAKINI UPANDE MWINGINE NDIO WANATUZUNGUKA KUTUFANYIA MAMBO MABAYA.
∆KUNAWATU WAPO MAKAZINI HAWAONI MAENDELEO
∆WATU WANAFANYA BIASHARA HAWAONI FAIDA
∆VIFUNGO VYA UCHAWI YAANI WEWE MWILI NI KUUMA TU
∆WENGINE USIKU MREFU HAKNA USINGIZI
∆UNAOMBA KAZI HUPATI NA UNAVIGEZO
∆WENGINE KOO ZAO HAKUNA HATA MWENE BAISIKELI WOTE NI KILIA TU
∆KILA NDOA WEWE NI KUACHIKA BILA SABABU
∆MAJINI MAHABA MWILINI.
∆KILA UKIPATA PESA HIKAI NA MATATIZO KUANDAMA.
∆WENGINE MPAKA MAJINA YAO NA BAHATI ZAO ZIMEFUNGWA MAKABURINI BILA KUJUWA.
HACHA KULALAMA CHUKUA HATUA KUBADILI MAISHA YAKO HUJAUMBWA KATIKA DUNIA HII KUTESWA NA MTU NA KUWA KITUO CHA MATATIZO NA MAJARIBIO JIWEKEE KINGA YAKO NA FAMILIA UHESHIMIKE HUSISINGIZIE HALI NGUMU MBONA SHOW ROOM MAGARI YANAUZIKA KILASIKU NAWE JIWEKE KATIKA HALI NAWE UWE NA MAISHA MAZURI.
Magonjwa yote hutibika kwa mwenye kubri na uwezo kutoka kwa Allah DOKTA MDIRO upate ufumbuzi wa tatizo na Jambo lako. @highlight TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA Everyone Products TIBA ASILI NA NYOTA,PETE ZA MIVUTO NA MAJINI TIBA ZA ASILI MAJINI NA UCHAWI 0715907487 Following
UWEZE KUTIZAMWA NYOTA YAKO NA MWILI KWA UJUMLA UMBALI SIO TATIZO HUDUMA INAKUFIKIA PIA KWA WANAOTAKA KUFIKA OFISINI NA MAWASILIANO NAMBA ZIPO CHINI UNAPOKELEWA NA DOKTA MDIRO MOJA KWA MOJA.
DOKTA MDIRO call/whatsup +255 742162843
ANGALIZO PIGA SIMU HUSITUME SMS KUHUDUMIWA HARAKA NA KUHEPUKA MATAPELI.