Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kocha Fadlu Davids wa Simba Sports Club, ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi wa nane (8).
Fadlu Davids ameiongoza Simba akitika michezo miwili ya Ligi na kushinda michezo yote akikamata usukani wa jedwali la msimamo wa Ligi Kuu.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA