Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Salum Kali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, akichukua nafasi ya Marko Ng’umbi ambaye jana Jumapili Septemba mosi, 2024 uteuzi wake ulitenguliwa.
Kabla ya uteuzi huo, Kali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Uteuzi huo umefanyika leo Jumatatu Septemba 2, 2024.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA