Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kuna muda natamani Pacome,Ahoua,Aziz na Chama wangekuwa Watanzania.
Timu yetu ya taifa imebarikiwa walinzi wazuri ila tunakosa Ubongo kati kati ya uwanja,tunakosa namba 10 mwenye uwezo wa ku-unlock defence ya timu pinzani,tunakosa A Pure creator kati kati ya uwanja.
Huu ni ugonjwa wa Taifa na dawa sahihi ni kutengeneza kizazi bora cha hapo badae kupitia academy.
Tunahitaji ubongo kati kati ya uwanja,tunakosa ile pasi ya mwisho,tunakosa ile pasi ya mauaji🙌
Lile goli la Mama leo limedoda walaji hakuna😄
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA