Header Ads Widget


SAKATA LA DIDDY NI MPANGO WA SIRI KUHALALISHA USHOGA

SAKATA LA DIDDY NI MPANGO WA SIRI KUHALALISHA USHOGA
P Diddy


SAKATA LA DIDDY NI MPANGO WA SIRI.

.Diddy alishutumiwa kuwalawiti watu mbalimbali na hata kuuza watu kwaajili ya ngono na kufanya party za uchi muda mrefu,wasanii wakubwa wababe waliongea bila woga lakini wakaonekana wameishiwa.


 Marekani ni taifa linaloongoza kwa intelligensia Kali duniani,je miaka yote hiyo hawakujua matendo ya P.Diddy? Walijua,Bali huu ni mkakati wa kutangaza ushoga tu.

Leo tunaona P.diddy na kesi zake za Ulawiti,lakini miaka yote hiyo hakuna aliyeenda mahakamani kufungua kesi,ila Leo mamlaka imeamua kuutangazia umma wa ulimwengu wote kuwa Kuna wasanii wakubwa wamelawitiwa na Diddy....

Katika Dunia hii Kuna vitu vingi sana vinaendelea na

Kinachofanyika kwasasa ni kuutangaza ushoga Ili sisi tusio ukubali tuone ni suala la kawaida. Ni kuhakikishie tu,P.Diddy atarudi uraiani.


Marekani ni nchi kisheria inayoinga mkono matendo ya kulawitiana na sio kosa,nchi hiyo pia biashara ya umalaya wa aina zote ni halali.Pia Kuna vyama maelfu vya LGBTQ vinavyotoa pesa nyingi kwa ma NGO's mengi duniani Ili kusambaza ushoga,Leo hii P.Diddy amekuwa mkosaji?😂 Wanatumia platform zao kama mitandao ya kijamii na mainstream kuhalalisha ushoga duniani.


Sakata la P.Diddy ni mkakati wa kuhakikisha Kila mtu anazungumzia ushoga na Ulawiti Ili tuone hauna tatizo kwavile hata watu wenye ushawishi kama wasanii na watu maarufu wanalawitiwa.


Sikuhizi cartoon zinaandaliwa Ili watoto wajifunze kulawitiana,vitabu vinaletwa vyenye maudhui hayo.. movies ndio usiseme,ndio pale mtu baada ya kuona anatamani akajaribu kufanya au kufanyiwa. Usisahau matamthilia kwenye tv,niambie ni tamthilia gani hakuna mwanaume anayeigiza mambo ya kike?


Tuwe makini,Hawa wanatupeleka kubaya.


Post a Comment

0 Comments