Mchezaji wa zamani wa Yanga SC @skudu11 anasema Moja ya wachezaji ambao amefurahi zaidi kucheza nao kwenye maisha yake ya soka ni pamoja na Pacome Zouzoua.
Skudu Makudubela amesema kuwa nyota huyo anajua sana Mpira na kuongeza kuwa ahawezi kuishindwa kumpa mtu sifa zake kwakuwa anaheshimu kile anachofanya
Pia Skudu amemtaja nyota wa zamani wa Mamelodi Sundown, Orlando Pirates, na Super Sports united Teko Modise kuwa ni miongoni mwa wachezaji wake wawili pamoja na Pacome ambao amewahi kucheza nao na wanajua sana Mpira
-------------------------------
Alikataa kuolewa ili amkomboe mama yake... Lakini mama ndiye aliyemuuza!
GORYANAH –Hii ni story ya Moto Sana yenye hisia na Mafunzo, binti jasiri anayepambana na siri nzito, umaskini na hatari kubwa kwa ndoto zake! Pakua app yetu ufurahie Sehemu ya 1 Hadi ya 5,na mwendelezo wake kila JUMAMOSI SAA MOJA KAMILI JIONI BURE!
Ukiona ujumbe wa allow notification bonyeza allow ili uwe mwanafamilia.