MREMBO Nai Official Afunguka: Yanga Ikifungwa Leo Nahamia Simba

MREMBO Nai Official Afunguka: Yanga Ikifungwa Leo Nahamia Simba


Mrembo na Mfanyabiashara @officiall_nai ameeleza kuwa iwapo Yanga SC atafungwa leo ugenini dhidi ya Namungo FC basi atahamia Simba SC.

“Leo Yanga tukifungwa nahamia Simba, kila la kheri timu yangu Yanga 💚💛.” Ameandika Nai kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Yanga itakuwa ugenini katika uwanja wa Majaliwa Ruangwa majira ya saa 6:30 jioni kuzisaka alama tatu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad