Michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB, linalojulikana pia kama Kombe la FA Tanzania, imefikia hatua ya 32 bora. Katika hatua hii, vilabu bora kutoka kona mbalimbali za nchi vitapambanishwa katika kinyang’anyiro cha kusaka ubingwa wa kombe hili kwa msimu wa 2024/2025. Mashindano haya, yanayozidi kupata umaarufu mwaka hadi mwaka, yameendelea kutoa jukwaa kwa vilabu vyenye historia na vile vinavyoibukia kuonyesha uwezo wao. Kutoka vilabu vya Ligi Kuu ya NBC hadi vile vya madaraja ya chini, mashindano haya yamejumuisha timu zinazoleta ushindani wa hali ya juu.
Timu zilizofuzu 32 bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Zifuatazo ni timu ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya 32 bora katika michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Bank Federation Cup 2024/2025) kwa msimu wa 2024/2025:
Green Warriors
TMA Stars
Mbeya City
Cosmopolitan FC
Polisi Tanzania
Stand United
Towns Stars
JKT Tanzania
Namungo FC
Mambali Ushirikiano
Pamba Jiji
Transit Camp
Biashara United
KMC FC
Singida BS
Mashujaa FC
Kundi la Pili
Coastal Union
Leo Tena
Songea United
Mtibwa Sugar
Fountain Gate
Azam FC
Bigman FC
Kiluya FC
Girrafe Academy
Geita Gold
Tanzania Prisons
Kagera Sugar
Mbeya Kwanza
Tabora United
Young Africans