Nyota wa zamani wa Aston Villa na Manchester United Dwight Yorke anasema alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku katika msimu wa 1999/2000 ambapo aliwaka sana kutokana na kiwango chake alichoonyesha kwenye soka wakati huo.
"Ilikuwa katika miaka yangu nikiwa Manchester United, wanawake walikuwa wakija kwangu kushoto na kulia, nina watoto wengi sana huko nje ambao sijakutana nao wengine hata siwakumbuki na nina uhakika mmoja wao anacheza kwenye Premier League kwa sasa."