Web

Unaambiwa Yanga Kwenye Mkutano Wameendelea Kukaza, Wanataka tu Point 3



Yanga Jana waliitwa kwenye kikao na Waziri wa michezo na Bodi ya ligi na msimamo wa Yanga ulibaki pale pale kuwa wanahitaji alama tatu na magoli matatu,huku wakitamka wazi mbele ya waziri kuwa hawana imani na bodi ya ligi.

Yanga wameendelea kukaza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad