Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome, amemtolea lawama kali Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtuhumu kuendesha chama kwa mtindo wa udikteta na kukandamiza uhuru wa wanachama kutoa maoni.
Mchome Amkosoa Lissu: "Anatumia Udikteta Kukiendesha Chama"
0
April 08, 2025
Tags