Nyota wa kimataifa wa Yanga SCPacome Zouzoua ameachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya 🇨🇮Ivory Coast kitakachoshiriki fainali za mataifa ya Afrika [Afcon] zinazotarajia kuanza kurindima mwisho wa mwezi huu nchini 🇲🇦Morocco.
Pacome aliitwa hivi karibuni na kocha Emerse Fae kwenye kampeni za kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia huku akikabidhiwa jezi namba 7 mgongoni.Wachezaji walioitwa Timu ya Taifa ya Ivoryy Coast wote wanacheza nje ya Bara la Afrika.
