Showing posts with label Rosa Ree. Show all posts
Showing posts with label Rosa Ree. Show all posts

4/18/2022

90 Days Fiancee Star Rosa Ree Declares Herself The Best Rapper In Africa After Being Mentined by Rick Ross

90 Days Fiancee Star Rosa Ree Declared Herself The Best Rapper In Africa After Being Mentined by Rick Ross

TTanzanian female rapper "Rosa Ree" has captured the attention of many the past few months, after being featured on the famous American Reality TV Series, 90 Day Fiancee. Rosa Ree has once again made headlines after she was mentioned by "Rich Forever" Rick Ross on an instagram live as he was recalling talented artists in Africa. Rick Ross announced his plans of bringing his label "Maybach Music Africa"  and his intentions of signing two artist on his label on the same instagram live session.

Seems Tanzanian rapper, Rosa Ree is one of the few artists that have caught his eye.On a resent instagram post, Rosa Ree declared herself "The Best Rapper in Africa". A caption many other artists and funs seem to agree with.

Rosa Ree released her latest single entitled "Blue Print" which is out now along with the music video. The track serves to remind people of  African decent all over the world of their roots. 

Check it Below:


Share:

8/03/2020

Rosa Ree - Kanyor Aleng (Official Lyrics Video)


“Kanyor Aleng’ “ means “I Love You” in Maasai, how do you say “I love you” in your language? In chagga we say “Ngikukundi”

Video Created by Bang
Audio Produced By Ibra Jacko


Share:

5/15/2020

Tazama ROSA Ree Freestyle Session Kutoka Wanene TV

Wanene Tv Studio Session Presents: Rosa Ree{Prod. By King Luffa}

VIDEO:

Share:

4/03/2020

NEW Audio: Rosa Ree - Sukuma Ndinga


NEW Audio: Rosa Ree - Sukuma Ndinga

Share:

4/02/2020

Rosa Ree Amerudi Kwenye TRAP, Sikiliza Ngoma yake Mpya Inayoitwa Sukuma Ndinga


Baada ya muda mrefu Rosa Ree kutuletea ladha tofauti ya mziki sasa Rosa Ree Amerudi Kwenye TRAP, Sikiliza Ngoma yake Mpya Inayoitwa Sukuma Ndinga

Bonyeza Play Kusikiliza, Pia Unaweza Kudownload

Share:

3/04/2020

Rosa Ree Amshusha Roberto wa Amarula Tanzania Kutoka Zambia Kisa Collabo


Kwa sasa hivi haina ubishi, Rosaree ndiye msanii wa kike anayefanya juhudi kubwa zaidi kwenye sanaa ya mziki.

Rosa Ree amemleta nchini msanii wa Zambia al maarufu kama Roberto wa "Amarula" na habari zinazosambaa ni kwamba wanajiandaa kutoa wimbo mpya pamoja na msanii huyo Ijumaa hii.

Hata hivyo Rosa Ree ameendelea kuwashangaza mashabiki zake pamoja Tanzania kwa nyimbo zake za kimataifa kama "Balenciaga" ambayo inafanya vizuri sana Afrika nzima.

Mashabiki wa Rosa wamefurahishwa sana na wimbo wa wanawake ulioandaliwa na Diamond ambapo hawakutegemea kama Rosa Ree atafanya vyema kutokana na beat la wimbo huo kuwa tofauti na beat zake alizozoea.


Share:

2/15/2020

Wimbo Mpya Kwa Ajili ya Wapenda nao, Milian Feat. Rosa Ree - Sex O


Sex O’clock Millian ft. Rosa Ree (official audio)

Usikilize huu hapa:

Share:

Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa

Rapper  wa Kike Machachari ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa  "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa chini kwa Kubonyeza Kitufye cha Play


Share:

2/11/2020

Rosa Ree Serves Fans With Sizzling Jam ‘Balenciaga’ (Video)Imeandikwa na Ghafla Kenya

Award-winning Tanzanian rapper Rosary Robert, popularly known as Rosa Ree or the goddess of rap, has dropped a new track titled Balenciaga and it’s getting a lot of love from her fans, even her critics.

Also read: How Rosa Ree rescued Timmy Tdat’s music career

Just like her previous releases, this jam is really dope. I also love that it has a small hint of ragga in it or am I the only one who thinks that it does? Anyway, all I am saying is that the sound is a bit different.


Rosa Ree has a dope flow and there’s no doubt about that. She has a unique ability to make random words rhyme. To add to that, her wordplay are out of this world. They don’t refer to her as the goddess of rap for nothing.

I have listened to this track a couple of times since it was released a few days ago and every time I play it, it’s like I’m hearing it for the very first time because it’s so damn good. Believe you me, I’m not even exaggerating.


Other than the ragga vibes in Balenciaga, I must admit that the reason I’ve had it on replay is because I love the way Rosa Ree sounds.

Her voice is kind of hoarse and to add to that she has a lot of attitude in her verses. Put simply, there is some sense of authority that makes you keep listening to her.

The beat on this track is sick. King Luffa really came through. Balenciaga is definitely one jam that will make you hit the dance floor without second-guessing yourself and that is not a bad thing, is it?

I loved the video concept too. It aligns well with the themes of the song which are partying, letting lose and having a good time. Props to the video director.

Watch Balenciaga below and tell us what you think.


Share:

12/13/2019

ROSA REE "Mimi Situmii Kilevi Chochote iwe Bangi au Pombe"

"Mimi situmii kilevi chochote iwe Bangi au Pombe, kwanza pia nashangaa watu wanaopenda Pombe, Mimi ladha yake tu inanichefua sana siipendi Pombe" - Ameyasema hayo Rosa Ree katika Interview na **PlanetBongo
Share:

Rosa Ree Atoa Ngoma Mpya Baada ya Kufunguliwa na Basata..Itazame Hapa


The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song is titled ALAMBA  CHINI.

Share:

12/09/2019

BASATA Lampa Rosa Ree Mwezi Mmoja Kulipa Faini ya Kiasi Hiki cha FedhaBaraza la Sanaa la Taifa “BASATA”  limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa.

Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa ffaini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja,

“Baraza la sanaa la Taifa linapenda kukutaarifu kuwa ombi lako la kupunguziwa adhabu limekubaliwa baada ya kujutia kosa lako na kumuandikia barua Mh. Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo ili kuomba kupunguziwa adhabu”, Barua kutoka Basata.

Aidha barua hiyo iliendelea kusema “1. Kuanzia tarehe ya barua hii, unaruhusiwa kuendelea na shughuli za sanaa, hivyo adhabu uliyopewa ya kufungiwa miezi 6  imeondolewa, 2. Kulipa faini ya milioni 2, kama ulivyoagizwa na hii ilipwe ndani ya mwezi mmoja”.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa Instagram Rosa Ree ameandika “Napenda kutoa shukrani kwa ofisi ya Waziri wa sanaa, habari, utamaduni na  michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na BASATA, kwa kuniruhusu kuendelea kufanya shughuli zangu za sanaa, naahidi kufanya kazi zangu ipasavyo na kuendelea kuipeperusha bendera ya nchi yangu”

Ikumbukwe mwezi uliopita Basata walimfungia Rosa Ree kwa muda wa miezi sita na kumtaka alipe faini ya Milioni 2, kwa makosa mawili ambayo ni kuachia video iliyokosa maadili pamoja kufanya kazi nje ya nchi bila kuwa na kibali.
Share:

12/06/2019

Breaking News: Basata Wamfungulia Msanii Rosa Ree Kufanya Kazi za Muziki


Baraza la Sanaa Tanzania "Basata" Wamempunguzia Adhabu msanii Rosa Ree Baada ya Kufungiwa miezi Sita asifanye kazi kutokana na Video isiyo maadili

Kutokana na barua aliyoandikiwa Rosa Ree kuanzia leo ameruhusiwa kujishughulisha na kazi yake ya muziki akiwa anatakiwa kulipa faini ya shiling milion 2 Pekee


Share:

11/27/2019

Rosa Ree na Awilo Longomba Katika NYIMBO Moja....Nini Kitatokea?

Inavyoonekana Kuna kitu kinaendelea kati ya Msanii Awilo Longomba na Rapper Rosa Ree Baada ya Leo Wote Wawili katika page zao kupost picha wakiwa Pamoja....Bado hajajulikana ni wapi wamekutana au nini wanatarajia kufanya....lakini tumemcheki Rosa Ree Leo Amesema tusubiri tusiwe na haraka yupo katika kuandaaa vitu vizuri kwa ajili ya mashabiki wake

Unadhani ni Nini kitatokea hapo kati ya Rosa Ree na Awilo Longomba kama wakiamua kufanya ngoja ya pamoja?


Share:

11/16/2019

Mwanamuziki wa KENYA Timmy Dat Aliyesababisha ROSA Ree Kufungiwa Kufanya Muziki Afunguka " Ni Ngoma Yangu si Yake Hawaelewi"

With Rosa Ree in trouble for a project she was featured in, her bae Timmy Tdat has taken down the video to protect her.

He went on to open up about this while speaking during an interview on Mseto East Africa.
Nilitoa video sababu ya Rosa Ree. Side ya Tanzania ilikuwa noma. Monday Tuesday na Wdnesday alikuwa kwa kesi tofauti. On Monday alikuwa sijui kwa akina nani, on Tuesday alikuwa kwa board ya filamu, on Wednesday alikuwa kwa BASATA yenyewe so the more ilikuwa inaendelea kukaa hapo ndio the more inakaa nikama yeye ni kichwa ngumu. You see those guys hawawezi kuelewa kwamba haiko kwa channel yake, iko kwa channel yangu na hawawezi kuelewa kwamba si ngoma yake ni yangu nimemshirikisha. Vile ameshakuwa mhusika ni noma already. Mimi kitu ningeweza kufanya the best ni kupull kwanza video, vitu zitulie alafu nipige edit.

Even with the video out, Rosa Ree remains a subject of interest to the Tanzanian authorities!

Share:

10/24/2019

VIDEO Mpya: Rosa Ree Featuring Fik Femaica - Acha Ungese

Rosa Ree Continues to Surprise People With Her Consistence of Releasing Hit Songs, Here is  Another one From #RosaRee Herself Featuring #FikFameica From Uganda #AchaUngese

TAZAMA VIDEO:

Share:

9/27/2019

Rosa Ree Awafuata Ghetto Kids Uganda..Awashirikisha Kwenye Ngoma Yake


Mwanamuziki Rapper wa Kike Kutoka Tanzania amefunguka na kusema kuwa yupo Uganda Kupanua Mziki wake Katika nchi hiyo kwa kuwashirikisha Wanamuziki wakubwa huko wakiwemo Watoto maarufu wacheza Dance wanaitwa Getto Kids..

Ghetto Kids kutoka Uganda wamepata umaarufu Dunia nzima baada ya kushirikishwa na Wanamuziki French Montana na Chriss Brown Katika ngoma zao wakionyesha uwezo mkubwa wa Kucheza ..

Rosa Ree amesema anampango wa kutoa ngoma ya kucheza ambayo ndani yake atacheza yeye pamoja na hao watoto wa Ghetto Kids, Amesema kwa sasa wako katika mazoezi ya wimbo huo kwa ajili ya kushoot VideoShare:

Rosa Ree Aibukia Uganda, Afanya Collabo Hii Kubwa na Spice Diana Itazame Hapa


Mwanamuziki Rosa Ree Aibukia Uganda, Afanya Collabo Hii Kubwa na Spice Diana ambaye ni Mwanamuziki A List Kutoka Pande hizo

Rosa Ree week nzima kwa sasa yupo Uganda na ametuhabarisha kuwa ana Collabo kama tatu hivi na wanamuziki kutoka huko akiwemo Apass, Fik Famaika na Ghetto Kids kwa ajili ya kukuza muziki wake...

Itazame VIDEO yake Mpya Hapa:

Aibukia Uganda, Afanya Collabo Hii Kubwa na Spice Diana Itazame Hapa:
Share:

9/04/2019

Jinsi ya Kumpigia Kura Rosa Ree Katika Tuzo Tatu za AFRIMA Alizochaguliwa

Jinsi ya Kumpigia Kura Rosa Ree Katika Tuzo Tatu za AFRIMA Alizochaguliwa

Rosa Ree Amechaguliwa Kuwania Tuzo Tatu, Bonyeza Links zifuatazo Kumpigia Kura

*Best Female Artiste In Eastern Africa

*Best Artiste, Duo Or Group In African Reggae, Ragga Or Dancehall

*Revelation Of The African Continent

Share:

8/26/2019

Rosa Ree is Back With a Diss Track ‘What You Know’ (Audio)


Tanzanian rapper Rosa Ree, who’s also fondly known as the goddess of rap, has dropped a new single barely a fortnight after she released Nguvu Za Kiume.


Dubbed What You Know, the jam is about the fact that you’ll never know so much about another person so you should not judge them.

Download More Music 
In the song, Rosa Ree explains that most people just see her on TV but they don’t really know her or what she’s about.

At some point, she says, “How you gon’ judge me, say you don’t like me, how you gon’ feel like you’re relevant to me?”


The way I see it, What You Know is a diss track to all her haters, I’m just lucky that I am and ardent fan of hers.

As expected, Rosa Ree’s delivery on this jam is really on point. Like, really.

She infused rap with singing and the output is so pleasing to the ear, you just want to keep listening.

The other thing that struck me about this jam is the fact that she can spit bars in English despite fact that she hails from Tanzania.

The song was produced by Sakhile and he did a great job, the beat is slow but I have a feeling that you can still turn up to this jam.

Listen to What You Know below and tell us what you think.
Share:

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger