kwanini Penzi la Mbali huwa linanöga kuliko penzi la karibu nikiwa na maana kwamba;
kama una mpenzi wako mnaishi umbali wa kuweza kusitisha shughuli zako japo kwa siku mfano arusha-dar ili muonane, hisia zake ni kubwa na kuheshimiana kunakuwepo sana kuliko yule wa pale mtaani?
Wanandoa ambao hawakai pamoja wengi wao wanaheshimiana zaidi kuliko wale wanaoishi pamoja?
Mkianzisha mahusiano katika hali yoyote kabla ya kuonana au kufahamiana mnaonyeshana lv sana, ila mkikutana tu hata kama ni sms mlikuwa mnatumiana zinapungua?
Ni Theory gani inafaa kutumika hapa?
We muongo.
ReplyDeleteKama hujapenda utafanya hivyo lakini kama amekukaa moyoni huwezi fanya hivyo, hasa kama utakumbuka kazi yake ukiwa kiunoni mmmm! oo
ReplyDeleteInahusu?
ReplyDeleteMmmm
ReplyDeleteJaman maenz ya mbali cku hz hayana maana upo mbali cku unaenda kumtembelea mpenz wko akaaye mbali unakutana na utumbo tu huko! Nyooo
ReplyDelete