SHEIKH ABUBAKAR MAKABURI AUWA KWA RISASI MOMBASA..ALIKUWA AKIHUSISWA NA MATUKIO YA KIGAIDI

Sheikh Abubakar Shariff ‘Makaburi’ anayehusishwa na matukio ya kigaidi nchini Kenya ameuawa jana na watu wasiojulikana mjini Mombasa.

Sheikh huyo alimiminiwa risasi wakati akiwa katika Gereza la Shimo La Tewa mjini Mombasa jana jioni wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kuhusu dhamana kabla ya kuahirishwa kesi yake katika Mahakama ya Shanzu.

Katika tukio hilo, pia mwanafunzi wa chuo aliyetambuliwa kwa jina la Hassih Bayeko aliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Walioshuhudia tukio hilo walisema mauaji hayo yalifanywa na watu waliokuwa katika gari jeusi kabla ya kutoweka. Sheikh Makaburi alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuwa mwanachama wa kundi ugaidi la Al Shabaab, lakini alikana madai hayo.

Pia Sheikh Makaburi alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuwaajiri vijana na kuwaingiza katika Kundi la Al Shabaab madai ambayo nayo aliyakana.

Sheikh Makaburi anakuwa muhubiri mkubwa wa tatu kuuawa kwa risasi nchini Kenya ndani ya miaka miwili . Oktoba mwaka jana, mhubiri mwingine Ibrahim Omar aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akitokea kuhubiri.

Pia Julai 2012, Sheikh Aboud Rogo aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye gari. Polisi wameimarisha ulinzi katika maeneo yote ya mjini Mombasa, huku kukiwa na wasiwasi wa kuzuka kwa vurugu kutokana na mauaji ya Sheikh Kaburi.

Hata hivyo, hadi jana jioni hakukuwa na taarifa zozote za kuzuka vurugu licha ya kwamba hali ya jumla ya mji huo ilikuwa tete.

Taarifa nyingine zilisema kuwa polisi ililazimika kufyatua risasi hewani nje ya kituo cha polisi ambacho mwili wa Makaburi ulipelekwa.

Askari zaidi wametumwa katika mji huo kuimarisha usalama na Ofisi ya Ubalozi wa Uingereza ilitahadharisha kuwa hali ni tete mjini humo.

Post a Comment

48 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sisi sote ni wa mungu na hakika kwake tutarejea....
    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi....ameeeen

    ReplyDelete
  2. Amin ya Rabi mlipie mja wko kwa dhulma za ufisadi. Kwa hao wasiojulikana siri kali yajuwa. Yote..

    ReplyDelete
  3. Ni halali muislamu kuuwawa ila akiuwawa mwingine ni matukio ya kigaidi,sijasikia cha FBI wala israel kuchunguza mauaji ila akiuwawa padre kila mtu atajifanya analaan na kutaka kuchunguza nani muhusika!..jiandaen kisasi ni haki yetu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pumbavu kweli nenda na wewe kenya wasipokudedisha. Nyooko we

      Delete
  4. Eee mwezimungu wape adhabu kali watu hawa wanaotuita sisi waislamu magaidi. Wape mateso makali hapa duniani ili wajue kuwa sisi sio magaidi bali tunaipigia dini yetu ya uislam isiteteleke. Innalillah wainnaillaih rajiun.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amiin Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake..Ni shekhe ambaye alijitolea kwa ajili ya Allah katika kupigania dini ya Allah..Zaidi wajue makafiri kuwa Waislamu tunapenda kufa kuliko kuishi sababu tunajua duniani sio mahala Petu Ni mahala pa kuchuma mema ili yatusaidie kesho akhera....

      Delete
    2. Kunywa sumu uende peponi idiot

      Delete
  5. Naomba nayeyote atakaye inuka tene nasiasa mbovu za dini naye wamufanyie hivyohivyo twataka amani hatutaki vita vyahao wahuni wakiislam

    ReplyDelete
    Replies
    1. kifo kinakwita shenzi wewe

      Delete
  6. nyie waislam mmezidi kwa vitendo vya ugaidi na ndio maana watu sasa wanaamua kujichukulia sheria mikononi afu hapo juu unasema kisasi ni haki yenu,,haki yenu ndo Mungu anavyosema ivyo??mnamjua alieua had mnasema kisasi??acheni uchochezi usiokua na maana elimikeni acheni sheria ichukue mkondo wake huh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kisasi ni haki yao kama wanavyoelekezwa na mtume wao kwenye Qur'an 178 na 179.
      Hao jamaa dini yao inaruhusu kumuua asiye kuwa muislamu

      Delete
    2. Hakuna dini ambayo imefundisha kuishi vizuri na asiyekuwa muislamu kama dini hii ya kiislamu lakini uislamu unatukataza kudhulumu au kukubali kudhulumiwa na Ni haki ya Kila muislamu kuhakikisha kuwa hamdhulumu mtu wala yeye hadhulumiwi...Tatizo linakuja kwenu makafiri tunapodai haki zetu mnatuita magaidi na kutuua sasa hapo sijui gaidi nani? Ni huyu anaedai haki yake au anayemzuia mwenzie kupata haki yake na kumuua...

      Delete
    3. Hujui unaloliongea wengi wenu mmerithi dini toka kwa wazazi na baada ya hapo hamkusoma kujua ukweli wa iman zenu,muislam wa kweli hawez kumkashifu yesu kwa sababu amezunguzwa ktk quran kwa heshima kubwa.na hakuna aya yenye kupinga mauaji kama hii ktk Quran "na atakaye ua nafsi yaasiye na hatia atahesabiwa kama ameua ulimwengu mzima,atakae okoa nafsi moja atahesabiwa ameokoa ulimwengu mzima"

      Delete
  7. waja wanamuabudu mungu wa kweli sio wahuni muhuni ni wewe ambae hata huyo mungu humjui

    ReplyDelete
  8. Bado muhuni sheikh Ponda

    ReplyDelete
  9. Sheikh Aboud Rogo hakuna hatua yoyote ilochukuliwa Ibrahim Omar pia Sheikh Abubakar Shariff ‘Makaburi’ nae itakua hakuna hatua ya sheria itayochukuliwa lakini ingelikua mapadri na maskofu kenya isingekalika kwa kutafutwa wauaji endeleeni kuipiga vita lakini hakuna mwenye uwezo wa kuupoteza dini hii walishindwa waliopiga vita uislamu kidhahiri wakashindwa na wengine wakakubali kusilimu wenyewe haikua hawa wanaupiga vita kwa mwavuli wa ugaidi haki hailipwi mahakamani anailipa Mungu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh haki inalipwa peponi kunywa sumu ukaichukue haki

      Delete
  10. akimaliza atakuja pengo

    ReplyDelete
  11. Endelezeni mjalada wenu bila kutaja Bible wala Qur-an, maana wengine wajifanya wanajua kutafsiri, hakuna anayependa binaadamu yeyote auawe hivyo basi tumuachie mungu yeye ndiye anayejua nani mkosaji. hakuna hata mmoja si serikali wala binadamu anayeruhusiwa kutoa uhai wa mtu mwingine.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe una akili ingawa unapenda mambo ya kishoga

      Delete
  12. Kumanina zenu waislamu wote, mnajifanya nyie kutuonea sana ss wakristo, eti kisa mudi kasema mtu asiye muislamu ni kafiri na ni ruksa kuuwa, mbwa koko nyie sasa dawa ya moto ni moto, tutaendelea tu kutoana macho, mpaka kieleweke, na imani yenu ya SHETANI HIYO, rudini huko mliko pambafuuu zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kuma la mamako linatoa funza. Ndo maana ulizaliwa guest house, na babako ni shoga nilimwona akifirwa jana. KUMA KIBUYU WEWE NA UKOO WAKO WOTE.

      Delete
    2. Wee mbwa nipo n mamako hapa chumbni namtomba huku anasoma msg yako ulioandika humu

      Delete
    3. Asante kwa kumtukana mtume Muhammad. Basi kwa idhni yake Allah akuadhibu hapahapa duniani na akufanye utambue kuwa adhabu hiyo inatokana na dhambi yako hii.

      Delete
    4. kama kutoana macho nitaanza na wewe kafiri mkubwa wewe lazma npate damu yako nyooooooooo

      Delete
  13. Bibkia inafundisha Samehe saba mara sabini. Hata ukitendewa kosa gan si Mkristo au Muislamu Mungu ndiye pekee anayejua nan mkosaji na ni yeye atakayelipa kisasi. Ni dhambi kubwa kumuua binadamu mwenzio kwan kila mmoja ana makosa yake. Sijafurahishwa hata kidogo kuuawa kwa huyo baba. Ni ukatili...

    ReplyDelete
  14. aaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh, uuuuuuwii mbavu zangu mdau hapo juu hv mudi ni nani? anasomeka ktk kitabu gani, we chizi kweli akili yako haina akili, usipende kushoboka badala ya kuombea dunia amani wewe unaandika utumbo, naomba utolewe wewe macho halafu upite ukiomba ndio utajua madhara ya kuropoka, ningekutukana makalio yako ila nimekuhurumia

    ReplyDelete
  15. Mtu yeyote anayetukana ovyo ujue Ana matatizo ya Akili. Hujijui ww anony 23:10! Ukristo haufundish matus hata kidogo. Bible inasema ktk 1Wakorintho 6:9-11. Pole sana ndugu.

    ReplyDelete
  16. Kisasi ni juu yangu mim nitalipa asema Bwana. Warumi 12:19....!Poleni sana mnaolipiza kuua wenzenu maana nanyi mtalipwa vivyo hivyo...haijalishi Mkristo au Muislam

    ReplyDelete
  17. Mungu mwenyewe aliahidi kwenye Qur-an kwamba atailinda dini yake ya kiislamu. Kwaiyo hata waipige vita vip bado itakuwepo tu.
    Inna lillah wainnah illayhi rajjiun
    Allah anasema " itakapofika nusra ya mwenyezi mungu na kushinda, utawaona watu wanaingia kwenye dini makundi kwa makundi"
    Just wait and see

    ReplyDelete
  18. Kwa hili wacha wauwawe kabisa kwanza mtu mwenyewe anajiita makaburi hiyo tu ameshajipa laana bila kujuwa huyu mzee anahusika sana na ugaid huyu hapo mombasa anachochea sana vurugu afadhal mtu mmoja kufa kuliko mambo yaliyotokea kama west gate watoto wadogo walikufa ambao hawajui kitu lizee kama hili wacha life badala kudil kwenye dini anajiingiza kwenye ugaid wanamtetea wote ni wapuuz hamjui kitu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawatakua radhi mayahudi na wanaswara mpaka mfuate mila zao.
      Inna lillah wa inna ilayh raajiun.

      Delete
  19. Unajua waislam wanajiona Dunia ni yao, Angalia Africa ya kati Vita walianzisha wao, vikundi vya wanamgambo wa kiislam kila kona, Wakristo wakaona usenge wakaanzisha vyao na wao, Waislam wanakufa kama kuku wanaanza kulalamika, oooooooooooo waislam wanaisha Afrika ya kati si upuuzi wenu unawaponza? kuweni wastaraabu na heshima kwa Dini nyingine hawawezi kufuata kila kitu mnacho kitaka

    ReplyDelete
  20. why ungeujuaje ukristo kama mzungu asingekuja kutawala na ungeujuaje uislam kama mwarabu asingekuja kufanya biashara, hiv mkolon angekuwa n mchina hao wengne wasingeku afrika c ungekuwa puza, tambua black people kuna kifo baada za uhai [DINI TUMELETEWA]

    ReplyDelete
  21. Hawa jamaa nawasikitikia kweli,kweli maana hawajui walitendalo hawa makafiri nyie mkituua ndo mnatusaidia wala hamtupunguzii...

    ReplyDelete
  22. we shika adabu yako kafiri wewe na familia yako,yan mnapenda kuwaona wenzenu makafiri kea lipi hsa?kwanza nyie ni wajinga elimu yenu ndogo kwenda shule hamtaki mnabaki vita na ugaidi tu,na mtakufa sana mwaka huu cz mmezid kuua watu bla hatia mkasomege huko muache hzo kazi zenu za kipumbavu na hilo zee kama ni kweli limehusika ni bora limeuwawa kabsa kuliko kusababisha vifo vya wengi bila hatia,hvi mnadhani dunia hii ni ya kwenu peke enuuu,,kwendraaa kule mtajutraa mwaka huu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Moto halali yako la sivyo nakushauri badilika njoo katika dini ya haki hiyo dini siyo ndugu yangu bado hujagundua Tu..Njoo katika uislamu upate pepo la sivyo utakuja juta..Huu,Ni ujumbe mdogo Tu kwa faida yako..

      Delete
  23. uchungu wenu makafiri.mapote kwa mapote yaingia katika dini ya kislam.mifano tele.mpaka mtoto wa bush,amekuwa muislam.kuna zaidi ya hivo?kwa hivo makafiri click on you tube muone ipi dini ya haki.

    ReplyDelete
  24. watu ndio walimwita makaburi,hakujiita yeye. mungu atamtia peponi inshaallah.amekufa shaheed.hakuna atakae ishi milele.isipo kuwa allah peke yake.mpaka mwenye kutowa roho ataonda.kwa hivo hatuna shida waislam,twajuwa tutakufa.mambo yako kwenu,munaogopa kufa.

    ReplyDelete
  25. eti dini ya haki...dini wanaume mnaruhusiwa kufirana na ushahidi upo kama unautaka. nayo dini hiyo!? subirini na sie tuchoke tuanze kuwa chenjia ndio mtatia akili, tatizo mnaanzishaga mambo ushabiki na upuuzu wa kutokuwa na elimu mkigeukiwa keleeeelee...! pumbavu kazi kuvaa kandambiri zenye wire chini mpaka sheli hamruhusiwi kupita zisije toa cheche

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fanya utafiti kabla ya kuongea usiongee Tu kwasababu umeshiba..Mapadri baadhi Yao mashoga na mnawafata na kuwatii

      Delete
  26. wanao fanya hivo ni hao mapasta wenu,huo ndio ushahidi wa kwanza 1 . kwenu uko ushahidi .ndoa ya jinsia moja 2.dini ya kislamu mambo hayo hayaruhusiwi,.kabisa...na mfano akiwa mtu ana fanya,,basi ni yeye mwenyewe si dini yetu,nasema tena hii ni dni ya haki ....

    ReplyDelete
  27. Wote mna njaa...! Pumbafu nyote mnaogombana kisa dini

    ReplyDelete
  28. waislam msibishane na makafir hakuna wanalolijua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad