Balaaa Ugonjwa Hatari wa Ebola Wasemekana Kuingia Dar , Wawili Wakutwa Nao


Ugonjwa Hatari wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini.
Wagonjwa hao wamepelekwa katika kituo maalumu kwa ajili ya wagonjwa wa ugonjwa huo kilichopo Temeke jiji Dar es salaam.

Watu hao wawili walipatikana katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Baada ya Kuwasili kutoka sehemu tofauti , mmoja ni raia wa Benin na Mwingine ni Mtanzania.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mola tusaidie waja wako.

    ReplyDelete
  2. Mungu wangu nini tena, tunakuomba Baba WA mbinguni utuepishie kikombe hiki. Umasikini tulionao wengine Ni gonjwa tosha.

    ReplyDelete
  3. Eeeh Mwenyezi Mungu tunusuru na gonjwa hili hatari kufika hapa nchini mwetu sisi watanzania na hali zetu hizi za maisha ya kuungaunga kupata riziki ni ngumu na maladhi ambayo tayari yapo nchini mwetu bado sheeder tena hili kubwa la kubwa kutufika!! Eeh Mola tunusuru viumbe sisi masikini ambao wengine hata kununua Panadol ni shiiida, kufata ARV kituo cha tiba pia usafiri sheeder itakuwa Ebola???? Wandugu tutambue sasa dunia imebaki sekunde kuisha! tulio mbali na Mola sasa tujaribu hata kupanda Bajaji au Bodaboda tumkimbilie kwa Mola wetu haraka!

    ReplyDelete
  4. Duh! mungu tunusuru

    ReplyDelete
  5. mola tuepushie gonjwa hili lisifike nchini kwetu..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad