Lemutuz 'Kambi ya Urais ya LOWASSA Hamko Vizuri au Mgombea Wenu ni Bogas..Jipangeni Tena Upya'

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- morning guys kuna wanaotafsiri kwamba namchukia mgombea wao kumbe Mimi ninakata FACTS mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe
so wafuasi wake jifunzeni hoja the FACT is a leading Candidate supposedly hawezi kuogopa Debate infact yeye ndiye aliyetakiwa kupigania Debate ziwe nyingi kusudi Taifa tumuelewe vizuri kwamba Hakuiba Richmond kulikuwa na njama za kutaka cheo chake ndio maana aliwaachia good now asimame kwenye debate atuhakikishie kwamba akipata Uraisi akishambuliwa tena na wanaotaka cheo chake hatajiuzulu kama alivyofanya kwenye Uwaziri Mkuu! hahahah....

Mgombea wenu aidha ana washauri wabovu au yeye mwenyewe ni mburulazzzz maana imagine Rais mtarajiwa anasimama mbele ya wananchi anaotaka kuwaongoza anasema "kama kuna mtu ndani ya CCM hanitaki aondoke" really? huyu akishika Urais kwa kauli shallow kama hii wasiomuunga Mkono watafanya nini si itabidi waondoke Tanzania?...halafu a leading candidate anamsimamisha Mchungaji ambaye ana kashfa za ajabu katika Jamii halafu Mchungaji naye anarudia kauli za Taarabu kwamba "asiyemtaka mgombea yule akale malimao"

Ingekuwa Majuu hii kampeni ingeisha pale pale maana media ingemzika mgombea mzima mzima....now watu wenye AKILI KUBWAZZ tunapojaribu kuwafahamisha hiyo kambi kwamba haya ni makosa makubwa sana kisiasa na ni dalili tosha kuwa mgombea wenu HAFWAI wanaanza kulia lia na personal attacks Mimi ninachambua tu FACTS at the table...narudia tena hiyo kambi aidha INA washauri wabovu au mgombea mwenyewe ni BOGUS cause siku ya kwanza ya kampeni unawaweka mbele Viongozi kama Mama Tibaijuka? So hii ni kambi inayokumbatia mediocres guys kuna wakati Mama Clinton kwenye kampeni ya urais ilibidi amfiche Mumewe baada ya kuropoka South Carolina kuwa Obama alitakiwa kumpikia kahawa na ikaishia kum cost kura za weusi...hiyo kambi mnanisikitisha sana mnaponilalamikia kwa ajili ya umburulazzz wenu wenyewe JIPANGENI mazafantazzz hahaha! - le Mutuz
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Very good point,where is everyone else?

    ReplyDelete
  2. Hapo umenifurahisha sana kiukweli team luwasa hawamjui vizuri mtu wao yulemzee hafai kua kiongozi

    ReplyDelete
  3. nyie maanoy hapo juu u know ni mambirulaz dada yake lemutuzz anagombea urais mnataka amapoti lowassa?

    ReplyDelete
  4. Kisa dada ako anagombea co, ujue lemutuz uyu ni mtu mzima kabisa siasa za majungu sizo mwageni sera zenu na dada ako sio mnaangalia nan kasema nn mmpate kiki huo ni ujinga kama hauna kiki tulia maana umri ushakiacha izo issue waachie vijana we mzee kalime shamba

    ReplyDelete
  5. Hata kama dada yake anagombea alichokisema Lemutuz ni ukweli usiofichika, je Lowasa akiwa Rais halafu akashutumiwa labda na wananchi au hata Majirani tu Kenya na Uganda atajiuzulu?

    Maswali mengine yote yana mantiki, huku pembeni yuko Kingunge alifisadi kituo cha mabasi Ubungo, huku yuko mama wa Escrow, huku yuko Mr Chenge mzee wa Vijisenti, kubwa kuliko nyuma yake yuko Rostam, KAMA KUSOMA HAMJUI BASI HATA PICHA TU KWA MACHO HAMUONI?

    ReplyDelete
  6. ANONY 9:50 AM umenikosha, pitia kfc hapo nakuja kulipa, hawa wanahasira na lowassa kwani alikatwa kipindi kikwete anagombea na lowassa alikuwa anamsapoti kikwete.

    ReplyDelete
  7. ANONY 9:50 AM umenikosha, pitia kfc hapo nakuja kulipa, hawa wanahasira na lowassa kwani alikatwa kipindi kikwete anagombea na lowassa alikuwa anamsapoti kikwete.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad