Waziri amevitaka vyuo vikuu kuchukua wanafunzi walio bora ili kuweka sifa ya ubora wa vyuo vyao
Na kuhusu vyuo vilivyochukua fedha ambazo hazikustahili vitalazimika kurudisha fedha hizo na kisha kuchukuliwa sheria kwa waliohusika, amesema bado wanaendelea kugundua idadi kubwa ya wanafunzi mfu walioombewa fedha tangia waanze zoezi hilo na sasa wamefikia vyuo vitatu tu.
Mama Ndalichako, Tunakuamini katika Usafishaji wa Machafuko ya Hali ya HEWA... Na Wanafunzi Hewa,, Katika Miundo Mbinu HEWA na Ubunifu HEWA na Hata Wanafunzi HEWA... Endelea Mama Tuko Pamoja sana... Katika awamu ya JPJM .. Ni lazima Tukomeshe na tuwape meseji kuwa Sisi Tumeichukia Hewa na Tunataka Kuitokemeza Hewa Huko Huko Hewani
ReplyDeleteMama Ndalichako, Tunakuamini katika Usafishaji wa Machafuko ya Hali ya HEWA... Na Wanafunzi Hewa,, Katika Miundo Mbinu HEWA na Ubunifu HEWA na Hata Wanafunzi HEWA... Endelea Mama Tuko Pamoja sana... Katika awamu ya JPJM .. Ni lazima Tukomeshe na tuwape meseji kuwa Sisi Tumeichukia Hewa na Tunataka Kuitokemeza Hewa Huko Huko Hewani
ReplyDeleteJamani hizi ofisi za serikali zina watu wamejaa huko wanaoitwa graduates wa vyuo vikuu. Hawa majamaaa hawana kitu kabisa, hawajui lolote mpaka unabakia kushangaa kuwa hawa watu wali graduate kutokea wapi. Kwa kweli hiyo Nchi bado ina kazi kubwa sana ya kusafishasafisha hayo mauozo duh!! Mama kazi unayo lakini pia hongera sana na nakutakia mafanikio mema dah
ReplyDelete