Akizungumza leo Jumapili Julai 23, Rais Magufuli amesema mawaziri anaowateua ni lazima wakubali matendo anayoyataka kwa sababu ndiyo wananchi wanayoyataka.
“Tumechezewa vya kutosha, waziri lazima afanye yale ninayotaka mimi, ingawa hata hawa niliowachagua hakuna aliyekataa,” amesema.
Amesema Tanzania imechezewa kwa muda mrefu na kusababisha watu kukosa mapato yanayotokana na rasilimali za nchi.
“Tumechezewa vya kutosha, mimi ndiyo rais wa nchi hii na ninawaambia kweli kuwa tumechezewa, rais anajua siri za nchi,” amesema.
Inabifi kinyume cha hiki. Mawaziri watende mstakwa ya wstu na raidi aletewe ni nini watu wsnataka. Raidi yupo ikulu, hajui matatixo ya watu vijijini, bali awe msikivu na kuhedhimu hilo. Nfo kaxi ya raidi. Awe msikivu. Wsbunge ambao wamechaguliwa na wananchi, wanaishi na wananchi inabidi wadikilize matatizo yao na kuyawakilisha bungeni ili wasaifiwe. Wabunge ndio wawakilishi haisia wa wananchi. Raisi ni ngazi ya juu kuhakikisha tu aliowateua wanatimiza kaxi zao vizuri. Sasa hapa watanzania mnaona wazi miingiliano ya kikazi. Raisi hayupo mitaani, wala vijijini. Si kazi yake.
ReplyDeleteInabifi kinyume cha hiki. Mawaziri watende mstakwa ya wstu na raidi aletewe ni nini watu wsnataka. Raidi yupo ikulu, hajui matatixo ya watu vijijini, bali awe msikivu na kuhedhimu hilo. Nfo kaxi ya raidi. Awe msikivu. Wsbunge ambao wamechaguliwa na wananchi, wanaishi na wananchi inabidi wadikilize matatizo yao na kuyawakilisha bungeni ili wasaifiwe. Wabunge ndio wawakilishi haisia wa wananchi. Raisi ni ngazi ya juu kuhakikisha tu aliowateua wanatimiza kaxi zao vizuri. Sasa hapa watanzania mnaona wazi miingiliano ya kikazi. Raisi hayupo mitaani, wala vijijini. Si kazi yake.
ReplyDeleteaisee! hicho ni kichaina au kijeremani.......hebu alomuelewa atufafanulie, sidhani kama aliye comment hapo juu ni m'TZ....
Delete