Serikali imesema wafanyabiashara wanaofanya biashara kupitia mitandao mbalimbali wametakiwa kufika katika ofisi za Mapato Tanzania TRA ili wajiandikishe waanze kulipa kodi kwa mujibu wa sheria kama wafanya biashara wengine wote.
"Watu wote wanaofanya biashara mitandaoni ni lazima wajiandikishe ili wapate namba ya mlipakodi (TIN), kama wamekidhi vigezo. TRA tumeanza kuwafuata wanaofanya biashara mitandaoni ili walipe kodi, hivyo niwatake wajitokeze waje wajiandikishe."- Kamishna Mkuu TRA, Charles Kichere.
Kodi tunttaka na tnpenda kulipa!!!!!
ReplyDeleteTunacho omba fanyieni Kazi agizo la Mh Raisi wetu JPJM
KODI ZFANYENI KUWA RAFIKI ILI USIPATE FIKIRA YA KWAMBA UNAUMIZWA NA KUZAA MBINU ZA UKWEPAJI.
KODI NDIYO MAENDELEO YETU
KADIRIENIKODI SAHIHI ILI ZILIPIKE