Irene Uwoya na Steve Nyerere waitikia wito wa Basata, wafika ofisini mapema
0
July 17, 2019
Waigizaji wawili wa filamu, Irene Uwoya na Steve Nyerere wameitikia wito wa BASATA uliotolewa jana ukiwata wawili hao kufika katika ofisi hizo kujieleza kuhusu tukio la kuwarusha fedha waandishi wa habari siku ya Jumatatu ya wiki hii.
Tukio hilo lilipelekea baadhi ya waandishi kuharibiwa vitu vyao na wengine wakidai kuwa tulip hilo limewadhalilisha waandishi.
Tags