Aliyekuwa Mpenzi wa Chawa Baba Levo Aitwaye @salma_mdoli amemuomba radhi mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa kuondoka kwake nyumbani kulitokana na vishawishi kutoka kwa watu ila kwa sasa anajutia kwa Kile alichokifanya Au Maamuzi Aliyoyachukua
Mama Ruby Amedai Kuwa Kuondoka Kwake Kumetokana Ushawishi Wa Marafiki Zake ambao walimwambia akitoka kwa baba levo ataendelea zaidi, lakini sasa anaona thamani yake imeshuka hivyo anamuomba msamaha baba levo hadharani amsamehe
Salma na Baba Levo walibahatika kupata mtoto mmoja wakike aitwaye #Ruby