Rais Samia Aamua Kuwafariji Yanga

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza HapaBao la Fiston Mayele jana katika mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, limeipatia Yanga Tsh Milioni 20 za bonasi ya Mama

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliikabidhi Yanga Tsh Milioni 20 baada ya mchezo dhidi ya USM Alger uliomalizika kwa Yanga kufungwa mabao 2-1


Msigwa alisema ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan pesa hiyo ikiwa kuwahamasisha wachezaji ili kuhakikisha wanashinda mchezo wa marudiano huko Algeria
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad