Polisi Yatangaza Nafasi Mpya za Ajira, Zisome Hapa

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

 

Polisi Yatangaza Nafasi Mpya za Ajira, Zisome Hapa

Mkuu wa jeshi la polisi nchini, IJP camillus wambura ametangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wataokidhi vigezo vilivyotajwa kupitia barua iliyotolewa na ofisi yake.

BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI HIZO

Katika taarifa yake iliyotolewa Julai 18, 2023 IJP Wambura ametaja vigezo mbalimbali huku kigezo (a) mwombaji anatakiwa kuwa raia wa Tanzania (b) awe amehitimu kidato cha nne kuanzia mwaka 2019-2022 kwenye umri kuanzia miaka 18-25.


IJP Wambura ameeleza mwombaji anatakiwa awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa daraja I-IV na kwa mwombaji mwenye daraja la IV anapaswa kuwa na ufaulu wa pointi 26-29.

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad