Hospitali Binafsi Zaanza Kupokea BIMA za Afya za NHIF

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza HapaDar es Salaam. Baada ya wagonjwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kusitishiwa huduma kwa hospitali binafsi, baadhi ya hospitali zimeanza kutangaza kurejesha huduma kwa wanachama hao.
Kiini cha wanachama wa NHIF kusitishiwa huduma, ni Chama cha Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), kutangaza mgomo kikishinikiza kutokubaliana na matumizi ya kitita kipya cha mafao ya gharama za huduma 2023 kilichotolewa na NHIF, wakidai gharama zilizokokotolewa kwenye kitita hicho, ni hasara kwao

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad