Aziz K ilitakiwa Afukuzwe Yanga Kwa Kutoa SIRI za Timu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Aziz K ilitakiwa Afukuzwe Yanga Kwa Kutoa SIRI za Timu


Kwa klabu kubwa kama Yanga ambayo Kila mtu wa michezo ana amini kuwa Yanga ina uongozi makini tena wenye mafanikio makubwa sana Kwa Sasa nchini kuona mchezaji anato Siri kama hii ni wazi Kuna shida kwenye uongozi wa kutunza siri.

Kuna vitu ambavyo wachezaji hawapaswi kuambiwa mpaka hapo Kila kitu kinapokuwa kimekamirika lakini kama bado mambo hayajakamirika basi wasiambiwe chochote,Sasa kwa kauli ya Aziz Ki ambayo ameitoa jana tayari imeondoa shahuku ya watu kutaka kujua kama ni kweli Dube anasajiliwa au lah.

Hapa itakuwa ngumu hata kwao kama watahitaji mdhamini siku ya utambulisho wa mchezaji huyu kwa sababu tayari watu wameshajua kuwa ni kweli anaenda Yanga. - @alexngereza._

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad