Taarifa Mpya Kuhusu Aziz K Kuondoka au Kubaki Yanga..

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


 Taarifa za kuaminika ni kuwa kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Stephane KI Aziz atasaini mkataba wa mwaka mmoja katika klabu ya Yanga kuelekea msimu ujao wa 2024/25.

Kiungo Stephane KI Aziz atasaini mkataba huo akirudi Tanzania huko kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Burkina Faso, baada ya makubaliano ya baina ya pande zote mbili kati ya Menejiment ya mchezaji na klabu ya Yanga.
- KI Aziz ataendelea kuwatumikia Wananchi kuelekea msimu ujao.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad