Makalla Amwambia Mbowe Ajiandae Kujiuzulu, Majimbo yote Kaskazini yataenda CCM

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
.

Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla ambaye pia ni mlezi wa Mkoa wa Dar es salaam (kichama) akizungumza katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Amesema amemskia Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Ndugu Mbowe akisema lazima wachukue Ushindi wa Majimbo ya Kaskazini yote na akishindwa atajiudhuru sasa nasi tumuambie na tumemrekodi kuwa ajiandae kutoka Mana sisi tutachukua Majimbo yote ya Kaskazini na Tanzania yote Sisi sio wabaguzi tunapiga kote sio yeye anabagua najua anajiandaa na Uwenyeketi.


Na niwaambie Vyama vya Upinzani vimekosa Mvuto na Muelekeo na ndio Maana watu wao wanazidi kuja kwetu Chama cha Mapinduzi na hapa kuna Diwani wa Chama cha Chadema ataka kuja nimpokee na bado tutapiga Bomu lingine mpaka wakimbiane

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad