Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu...
Hali hiyo ilizua taflani kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao..
Duuuuu....hv tabia za videnti vya chuo ni chaf as u cnt believe! sir God atunusulu!
ReplyDeletesijui siku ya hukumu itakuwaje eeeh Mungu wangu.....huku ufuska kule ufisadi pale wizi.......duh!
ReplyDeleteet ndiyo wasomi wetu hao da inasikitisha kwa kweli
ReplyDeleteKWA MTAZAMO WANGU NI BORA MSIZICHAPISHE PICHA CHAFU KAMA HUZI KWANI WENGINE HUONA SIFA KUWEKWA MITANDAONI KWA TABIA HIYO NA PIA HUSHAWISHI WASHENZI WENGINE WAWATAFUTE. TUJITAHIDI KWA HILI
ReplyDeletenawaonea huruma sana
ReplyDelete