Mange‬ Kimambi Alia na Jeshi la Polisi Kutokana na Kukithiri kwa Matukio Kuchinjwa Kinyama, Ahoji Vipi WAPO Busy Kukamata Boda Boda na Bajaj Kama TRA


Ameandika haya katika Ukurasa wake wa Instagram..

Mangekimambi
"What's going on jamani????? 🏽🏽🏽🏽🏽🏽 it's like kuchinjana imekuwa fashion Tanzania. Dah!
Hivi polisi wanaona hili Janga? Au Ndo wako busy kutafuta na kuwabeba Kwa madefender wanaoweka status Facebook, kukusanya mapato barabarani kama TRA na kukamata bajaji na bodaboda???? " Mange Kimambi

Je Kuna Ukweli?

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hali ni ngumu katika nchi hii jamani!! yaani mtu akikumind tu, utamkoma maana
    inaonekana uchunguzi wa kuwagundua umeshindwa!! maana kila siku wanafanya,
    halafu hawa watu wakikamatwa wangekuwa wanawekwa hadharani ili tuwajue wao
    ni kina nani, wanatoka ukoo gani na kwanini wanafanya hivyo!! ingesaidia kuona
    haya kuendelea kuua, maana tungewajua tungewatenga. Sasa da, mtu hata hujui
    kama huyu ninae ongea nae ndiye seroir kila mtaani!! Eh! Mungu tusaidie waja wako
    this is too much now!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtoa madaa hapo juu ni kweli unayongea, lazima washughulikiwe kwa njia hiyo ili jamii iwatambue, na waone mabaya na dhambi zao mbele za macho ya watu jamii inayowazunguka , kwa kuwa binadam wamekuwa hawana hata hofu ya mungu muumba wa vyote, wao wanatenda tu mabaya, nakudhani mbona hatuonekani, na hao watajichanganya kila sehemu mpka nyumba za ibada na kujifanya wanyenyekevu, binadam ni kiumbe mmbaya sana, kuliko hata mnyama wa mwituni, kwa kuwa na muonekano miwili tofauti, wa ndani na nje, sasa ni wakati wa Taifa kutafuta shuruhisho dhidi ya wakazi wake, ili kila mtu apate khaki yake ya amani katika chini ya mbingu, ambayo kila mtu amezaliwa. Na kuikuta

      Delete
  2. Atoke zake hapa mbona asihoji yale yanayotokea pale Marekani na jirani zao Mexico ambao kila kukicha kuna matukio ya kuuwana iwe kwa risasi ama vitu vingine???? Ni kweli kwa hali inayotokea hapa Tanzania ni kitu kigeni kidogo kwa sababu kwa mazoea yetu na historia ya Nchi haya mambo hayakuwa yanatokea kwa kiasi kikubwaaaa saaanaaa kama sasa hivi. Lakini pamoja na hayo bado huwezi kuyalinganisha haya matokeo ya mauaji yanayotokea hapa Tanzania na Nchi nyingine kama Marekani, Mexico, Uchina, na pia baadhi ya Nchi za Ulaya. Sasa huyo Mange Kimambi na Ukimambimambi wake angeanza kwa kuanza kuyahoji yale yanayotokea kwenye hizo Nchi hususan Nchi anayoishi yani Marekani. Kwani matokeo yanayotokea hapa Tanzania ni zile zinazoitwa "Isolated Incidents" ambazo kimsingi bado zinaweza kudhibitiwa kwa ushirikiano kati ya Polisi na Jamii ambayo ni wananchi wenyewe. Kitu ambacho kwa Nchi kama ya Tanzania ni rahisi sana kudhibiti hiyo hali ikiwa Wananchi watapewa mwamko juu ya madhara ya hayo matukio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nikutukane au?

      Delete
    2. Umtukane nani nyang'au wewe.

      Delete
  3. Na hayo maneno ya kuilinganisha Jeshi la Polisi na TRA ni ukosefu wa hoja na upungufu wa kufikiria mbali na pia inawezekana huyo Mange Kimambi ana tatizo linaloitwa "AUTISM" na hili linadhibitishwa na udhaifu mkubwa wa hoja zake anazojaribu kuzijenga na kutuaminisha sisi wasomaji. Kwani hoja zake nyingi zina mapungufu makubwa na pia hazina mashiko.
    Kumbuka kuwa Jeshi la Polisi kwa ukubwa wake ni Jeshi lenye idara mbalimbali zinazoshughulikia mambo tofauti. Kila idara inajitegemea kwa jinsi ule muundo wake ulivyo wa kukidhi matukio mbalimbali yanayojitokeza. Kwa hiyo inawezekana kabisa na kulinganisha na utaratibu wake Jeshi la Polisi linayo Idara inayoshughulikia ukamataji wa magari makubwa na madogo yanayovunja sheria mbalimbali za barabarani.
    Kama Mange Kimambi ameguswa na hilo atuambie. Inawezekana Bodaboda yake ama Kibajaj chake kilikamatwa kwa sababu za uvunjanji wa sheria za barabarani. Sasa hicho kitu inawezekana kinamuuuuma mpaka anaamua kukizungumzia vibaya.
    Ninachoweza kukushauri wewe unayejiita Mange Kimambi acha usaniii, acha maisha ya kuigiza kwani hayatakufikisha popote. Piga kazi za nguvu ili na sisi watu wa kawaida tukuone. Sio kila siku unabakia kuwa mkosoaji wa mambo ambayo hayana kichwa wala miguu. Kenge Mkubwa weeeeeee......

    ReplyDelete
  4. @Anonymous 9;50am usa ailingani na bongo kwa namna yyte ile mila na desturi zetu wabongo zinakataza kuuana ndio maana mange kashtuka na matukio kuongezeka kila siku, sasa kama usa , mexico,Canada n.k wanauana hiyo sio sbb ya wabongo kuacha mila na desturi zao, stupid utapinga kila kitu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe Anonymous 12:30 PM kama uko hapa kunifuatilia na ku criticise kila ninachokiandika Utashangaaa. Soma vizuri hiyo article na ujaribu kutuliza akili yako ili utafakari na kuielewa kabla ya kukurupuka kurupuka. "Ni kweli kwa hali inayotokea hapa Tanzania ni kitu kigeni kidogo kwa sababu kwa mazoea yetu na historia ya Nchi haya mambo hayakuwa yanatokea kwa kiasi kikubwaaaa saaanaaa kama sasa hivi. Lakini pamoja na hayo bado huwezi kuyalinganisha haya matokeo ya mauaji yanayotokea hapa Tanzania na Nchi nyingine kama Marekani, Mexico, Uchina, na pia baadhi ya Nchi za Ulaya." <------ Hicho ndicho nilichokiandika soma vizuri na ukielewe.

      Delete
    2. Na kwa taarifa yako matukio yoyote yale ya mauaji hayahusiani na mila na desturi za kabila ama Taifa lolote lile. Soma vizuri historia ya Binadamu ndio uelewe. Kwani haku Binadamu yoyote yule Duniani ambaye anapenda kupoteza maisha yake katika mazingira kama hayo ya kuuwawa kinyama. Na wasiwasi kama kile unachokisimamia kina ukweli wowote. Inakubidi urudi shule uka elimike.

      Delete
    3. Unarudi ujunga ule ule uwezi kuringanisha takwimu za matukio ya bongo na usa,canada,mexico,China eti soma historia ya mwanadamu,mzembe wee mimi nasoma quran/bible na wabongo wengi wanafuata vitabu nivyo,ndio maana hatuuani,ndio tunashangaa hao wanaiga usa,china,mexico? Wewe unatetea eti hii sio mbaya kulinganisha na usa,mexico china, mauaji yote mabaya iwe mtu mmoja au Mia subiri wakija kumchinja mama yako ndio bange litakutoka

      Delete
    4. Mila na desturi ndio kielelezo cha watu wanacyoishi,na chanzo kikubwa cha kuongezeka mauaji ni kuapoteza mila na desturi zetu na kuiga za usa,mexica,china, n.k unaweze kuwa bingwa na kujiona msomi kumbe you just stupid moffo hiding behind keyboard lol

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad