Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi
Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi lakini taratibu ukweli wa mambo unaanza kudhihirika siku baada ya siku kuwa Wema si kada tena wa CCM na hivyo basi CCM wamepata pigo kubwa sana kumkosa huyu mtu kwa kuwa anawafuasi wengi saana ambao wapo tayali kumfata kokote kule aendako
Na kwa kuonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram
Good even me nakuunga mkono after what you have done and what they did to you was unfair Hata mie now i follow you keep it up baby
ReplyDeletealikuwa lowassa mwenye wafuasi tele
ReplyDeletesembusee wema
aendee tuu
ccm aliikuta
Heh! Mbaya hiyo lakini sahihi pia.
ReplyDeleteKuwa mahali sahihi maana yake nini?!
Mahali sahihi kwa watumia madawa ya kulevya?
Iwapo ndiyo hivyo, Wema hajakosea, CCM alikokuwa kweli hakukumstahili maana watumia madawa CCM na nchi nzima wanapigwa vita.
Madawa ya kulevya kama wapo, ama waache waendelee kuwa wanachama safi wa CCM, au wahamie kwa wenzao!
duuh kumbe na ww umshaisoma number na sasa unasepa kimya kimya eee
ReplyDeleteImechukua muda Mrefu kwa wasanii kuuona ukweli. Mlitumika tu wakati wa uchaguzi. Homgere Wema Sepetu. nawengi Wasanii mtauona ukweli. Sasa mmepewa short change. Ni vizuri mmnafunguka polepole. Kuna hope. mtu mmoja habadili nchi, lazima mfumo mzima ubadilike. Magufuli peke yake hawezi kubadili Tanzania, Inabidi Watanzania wote pamoja kwa kuipenda, kuitetea, kuijenga na kuilinda nchi kwa mwongozo na mfumo mzuri na uzalendo wa kweli tu. Nchi itabadilika. Lowassa alisema Mchakamchaka. Watu tumelaza damu. Vijana amkeni. Hili taifa ni mali yenu nyinyi, msiposimama imara na kulilinda, limekwenda. Hawa vigogo wameshapitia na inabidi wapumzike. Jielimisheni Tafadhali, Fanyeni kazi kwa nguvu na kimaarifa. Taifa litabadilika. Heri upate elimu bora, kuliko nyumba ya thamani ya mali ya cocain, kuiba na isiyo na hadhi. Ukipata elimu, utabadili kizazi chako kielimu na kijacho. Hapo ndipo tutakapoivunia nchi yetu watu wakiamka kiakili, kiafya, kimaendeleo na kiuzalendo. Nyimbo, mazungumzo, maigizo yaendane na mabadiliko kielimu. I belive vijana mtaweza mkiungana. Anzeni sasa bado mna nafasi.
ReplyDeleteAkwende zake huko wanapo jaa wakiukwaji wa sheria. Basi alifikir kuwa mtu wa CCM ndo kukiuka sheria za inchi? hakun alie juu ya sheria na kama alikuwa CCM na kufikir eti akivunj sheria watamuach alikua amejidangany hii sio ile Tanzania ya kuoza hii ni Tanzania mpya ya JPM na hio ya wema na Manji ni salamu kwa wale wote wanao fikiria eti mimi ni mtu maaruf et hawanigus hapo wamegong mwamb na kwahiy basi waheshim sheris za Inchi.
ReplyDeleteShe's free to do so
ReplyDeleteMsiwe mnaapa kwa kusema uongo,huyu si alisema baba yake alimuambia awe ni M-ccm?
ReplyDeleteNa si alisema CHADEMA ikishinda atahama nchi?alijua kuwa CCM itakuwa madarakani milele?
Wema amekuwa akiipia ccm kwa muda na kuiona kuwa ccm imekithiri kufanya maonevu yasio mipaka dhidi ya upinzani pamoja na yale yaliyotokea kule anzibar
DeleteHakuna lolote,wako kwa kufuata maslahi na mabwana tu.
DeleteMbona alitaka ubunge kupitia CCM?mwenendo wa ccm umeanza jana?
KWENDRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteSawasawa kabisa, nenda hukohuko kwenye 'chaka-la-wahalifu', tena kuna wanasheria wengi tu huko hawana kazi za kufanya, kazi zao ni kutetea wahalifu na uhalifu...........
ReplyDeleteana haki kama kweli anaihama ccm. ila kama alienda ccm kwa kufikiri kuwa watamlinda hata akiwa na maovu alikosea sana. kuhama hama hakutakusaidia sana sana kutakusababishia wakubane/wakushughulikie zaidi. fikiria tena!!!!!
ReplyDeleteHii nchi wakubwa wengi hawana huruma na wananchi wao,wako kuvimbisha mitumbo yao na familia zao tu,kwenye uhalifu hata kama kuna uthibitisho mtu anatetea kisa mwenye kushtaki ni mpinzani,Ndio maana mie nilishaapa kutopiga kura mpaka naingia kaburini.
ReplyDeleteYALEYALE YA KAMA KWA LOWASA,HAYA DADA NA NI LAZIMA UTAPATA NA UBUNGE.
ReplyDeleteNCHI YANGU TANZANIA HAINAGA UPINZANI THABITI.PTU